At Sukuma Guest House, we warmly welcome guests visiting the area for work or extended stays. We understand the needs of long-term visitors, and we’ve been offering generous long-stay discounts for many years. Whether you’re staying for a month or longer, we’re here to ensure your experience is comfortable and tailored to your requirements.
Feel free to contact us directly to discuss your specific needs, and we’ll be happy to accommodate your special requests. Let us make your long-term stay as convenient and enjoyable as possible.
__
Kwenye Sukuma Guest House, tunawakaribisha kwa moyo mkunjufu wageni wote wanaotembelea eneo hili kwa kazi au kukaa kwa muda mrefu. Tunaelewa mahitaji ya wageni wa muda mrefu, na tumekuwa tukitoa punguzo la bei kwa wale wanaokaa kwa muda mrefu kwa miaka mingi. Iwe unakaa kwa mwezi au zaidi, tupo hapa kuhakikisha unapata huduma bora an kwa bei nafuu muda wote.
Tafadhali jisikie huru kuwasiliana nasi moja kwa moja ili kujadili mahitaji yako maalum, nasi tutafurahi kukidhi maombi yako maalum. Tupe nafasi tufanye makazi yako ya muda mrefu yawe rahisi na ya kufurahisha kadri iwezekanavyo!