[Introductory information and highlights of our guest house, Details about the rooms, amenities, and booking/payment information.]
Location & Services at our Guest House:
Sukuma Guest House is the perfect destination for travelers, business professionals, local visitors, and tourists exploring Nyashimo in Busega District, Simiyu Region.
Conveniently located approximately 100 km from Mwanza city center, our guest house sits along the Mwanza-Musoma highway, on the serene shores of Lake Victoria, in the vibrant Nyashimo Township (also known as Nassa Nyashimo).
We pride ourselves on offering high-quality yet affordable accommodation tailored to meet the needs of our diverse guests. Whether you’re here for business, leisure, or health purposes, Sukuma Guest House ensures a comfortable and welcoming stay.
Our facility also features a cozy pub and a renowned restaurant that serves delicious local dishes, including traditional Sukuma cuisine. Meals are prepared by Ms. Shikalile, the proprietor of the famous SHIKA Restaurant, offering guests a true taste of Tanzania's culinary heritage.
Why Stay With Us?
- Proximity to Key Institutions: Ideal for visitors heading to the Busega District Council offices, other local institutions, the fully equipped Nyashimo Health Centre, or the newly constructed Busega District Hospital.
- Strategic Location: Opposite the renowned Nyashimo Primary School, which also hosts a Teachers Resource Centre.
- Gateway to Adventure: Located just 40 km from Lamadi, where you’ll find the entry gate to the iconic Serengeti National Park. Home to the world-famous wildebeest migration, Serengeti is a UNESCO World Heritage Site and an unmissable attraction.
Cultural and Natural Experiences
Being situated near Lake Victoria, guests have the unique opportunity to explore nearby fishing villages, interact with local communities, and experience authentic Tanzanian culture. Our restaurant also offers fresh fish and traditional meals, adding to the immersive experience.
Whether you’re looking for a comfortable base in the Busega District or a tranquil stopover on your way to the Serengeti, Sukuma Guest House offers a homely atmosphere and unparalleled hospitality, celebrating the vibrant culture of Tanzania’s largest ethnic group, the Sukuma people.
Booking and Payment:
At Sukuma Guest House, we make booking as easy and flexible as possible for our guests. While online booking is not yet available, you can simply visit our guest house and check in directly. Alternatively, you can secure a booking by giving us a quick call using the contact details provided on this website.
We accept payments through cash, mobile money, or bank transfer, ensuring that you can choose the method that is most convenient for you. Our goal is to make your stay hassle-free from start to finish.
Maelezo ya eneo na huduma:
Nyumba ya kulala Wageni 'Sukuma Guest House' ni mahali bora kwa wasafiri, wafanyabiashara, wageni wa ndani, na watalii wanaotembelea Nyashimo katika Wilaya ya Busega, Mkoa wa Simiyu.
Iko katika eneo linalofikika kwa urahisi, takriban kilomita 100 kutoka katikati ya jiji la Mwanza, nyumba yetu ya wageni ipo kando ya barabara kuu ya Mwanza-Musoma, kwenye ufukwe wa Ziwa Victoria, katika mji wa Nyashimo (pia unajulikana kama Nassa Nyashimo).
Tunajivunia kutoa malazi ya kiwango cha juu kwa gharama nafuu, yaliyobuniwa kukidhi mahitaji ya wageni wetu mbalimbali. Iwe uko hapa kwa ajili ya biashara, mapumziko, au masuala ya kiafya, Sukuma Guest House inahakikisha unapata malazi ya starehe na yenye kukaribisha.
Kituo chetu pia kina Pub au Bar tulivu na mgahawa maarufu unaotoa vyakula vitamu vya kiasili, ikiwemo vyakula vya jadi vya Kisukuma. Vyakula vinapikwa na Bi Shikalile, mmiliki wa mgahawa maarufu wa SHIKA, anayewapa wageni ladha halisi ya urithi wa vyakula vya Tanzania.
Kwa Nini Uchague Kukaa Nasi?
- Ukaribu na Taasisi Muhimu: Bora kwa wageni wanaotembelea ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Busega, taasisi za eneo hilo, Kituo cha Afya cha Nyashimo kilichojengwa upya hivi karibuni, au Hospitali Mpya ya Wilaya ya Busega.
- Eneo mwafaka: Ipo mkabala na Shule ya Msingi Nyashimo maarufu, ambayo pia ina Kituo cha Rasilimali kwa Walimu, TRC.
- Lango la Utalii: Ipo kilomita 40 tu kutoka Lamadi, ambapo utalipata lango la kuingia katika Hifadhi ya Kitaifa ya Serengeti. Serengeti ni eneo la urithi wa dunia la UNESCO linalojulikana kwa uhamaji wa nyumbu na kivutio kila mtu anapaswa kukiona na kushuhudia maajabu ya uumbaji.
Utamaduni na Mazingira:
Iwapo upo karibu na Ziwa Victoria, wageni wana fursa ya kipekee ya kutembelea vijiji vya wavuvi vilivyo karibu, kushirikiana na jamii za wenyeji kwa kushuhudia maisha yao au kusikiliza simulizi zao, na kufurahia utamaduni halisi wa Tanzania kwa ujumla. Mgahawa wetu pia unatoa samaki safi na milo ya kiasili, kuongeza hali ya uzoefu wa kuzama ndani zaidi.
Iwe unatafuta kituo cha starehe katika Wilaya ya Busega au mahali pa kupumzika kwa utulivu ukiwa njiani kuelekea Serengeti, Sukuma Guest House inatoa mazingira ya nyumbani na ukarimu usio na kifani, ikisherehekea utamaduni wa kuvutia wa kabila kubwa zaidi la Tanzania, Wasukuma.
Online Booking na Malipo:
Katika Sukuma Guest House, tunafanya mchakato wa Online Booking uwe rahisi iwezekanavyo kwa wageni wetu. Ingawa Booking ya mtandaoni bado haipatikani, unaweza kutembelea nyumba yetu ya wageni na kujiandikisha au kufanya booking moja kwa moja. Vinginevyo, unaweza kufanya Booking wewe mwenyewe, kwa kutuma mtu au kwa kutupigia simu kwa kutumia maelezo ya mawasiliano yaliyotolewa kwenye tovuti hii.
Tunapokea malipo kupitia pesa taslimu, pesa za mitandao ya simu (mobile money), au uhamisho wa benki, kuhakikisha kuwa unaweza kuchagua njia inayokufaa zaidi. Lengo letu ni kufanya maisha yako hapa kwetu yawe rahisi kuanzia mwanzo hadi mwisho.